Sunday 29 January 2017

2 comments:

  1. picha ya pamoja walezi wa watoto wenye ulemavu wa ngozi (Albinism) na watoto wenyewe katika kituo cha Buhangija kilichopo Halmashauri ya shinyanga

    ReplyDelete
  2. Sheria ya kazi namba 6 ya mwaka 2004 inajali mambo mengi sana..ikiwepo ndoa na mahusiano ya kifamilia ya waajiriwa, ili kupata muda wa kukaa na familia pia na kufanya mambo mengine imegawa muda yaani masaa ya kazi..achilia mbali muda wa mapumziko ambayo huwa hatuyahesabu katika masaa ya kazi.
    Kwa mujibu wa SHERIA YA KAZI namba 6 ya mwaka 2004, Kifungu cha 19 (1) kinasema “…mwajiri hatakiwi kumruhusu mwajiriwa kufanya kazi zaidi ya masaa 12 kwa siku.” Hii inamaana kwamba unatakiwa kufanya kazi kwa masaa 9 kwa siku,masaa 45 kwa wiki na kwa kifupi ni siku sita katika wiki kwa mujibu wa kifungu 19 (2) cha sheria hiyo. Sheria hiyo ya kazi kifungu cha 9(3) kimemtaka mwajiri kutoruhusu overtime kwa mwajiriwa LABDA kuwe na makubaliano ya kufanya kazi overtime na kama ni makubaliano hayo basi yasivunje kifungu cha 9(1) yaani yasizidi masaa 12.(hapo umejumlisha masaa matatu ya overtime kutoka yale masaa tisa kisheria ya kufanya kazi)
    Lakini kutokana na hali tulizonazo,hii sheria wala hatuifati na tunaona inatubana..yaani hatutumii kabisa hiki kifungu..je unajua sababu ya sheria ya kazi kuweka mgawanyo huo wa masaa ya kazi??imekupa muda wa kupumzika,kutul
    ia na familia yako..kujua mambo mbalimbali yanayohusu familia yako tofauti na kazi..lakini wengi wanatumia OVERTIME kuharibu familia zao…overtime mpaka saa sita usiku?mpaka asubuhi unaamkia ofisini hata nyumbani hujui wameshindaje siku iliyopita?? Ijapokuwa kwenye sheria hiyohiyo,kifungu cha 19 (4) inasemamwajiriwa ataruhusiwa kufanya kazi overtime ILA kisikiukwe kifungu cha 9(1) cha sheria hiyo…ambacho kinasema USIVUKE MASAA 12 …

    ReplyDelete